Matthew 13:33

Mfano Wa Chachu

(Luka 13:20-21)

33 aAkawaambia mfano mwingine, “Ufalme wa Mbinguni unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.”

Copyright information for SwhNEN